ZARI: MIMI NDIYE NILIYEMFUNDISHA DIAMOND KUVAA VIZURI
Mtalaka huyu wa star mkubwa wa bongo bw. Diamond platnumz amefunguka kwamba diamond alikuwa mshamba kabla hajakutana na yeye.
Alikuwa hajui kuvaa wala kupangilia mavazi kwenye events muhimu.
Alikuwa amepauka na kukonda kwa mawazo ya kuachwa na wema.
Mimi ndiye niliyeirudisha nuru ya muonekano wake mpaka sasa anavutia
No comments: