DIAMOND AMFANYIA UNYANYASAJI WA KIJINSIA MREMBO MAARUFU BONGO
Inasemekana baada ya kumtongoza na kuwa nae picha zake zilivuja.
Akaamua kumpigia simi arudi tena ili apige picha upya na nguo zilezile na mkaka mwingine ili ijilikane ndiye anaetoka naye kumfanya zari aamini kwamba yule mwanamke hakuwa na diamond.
Maneno hayo yametoka kwa mlengwa mwenyewe ambaye amekiri kufanyiwa kitendo hicho
No comments: