HAKUNA MTU ANAYEJUA KUFAKE MAISHA KAMA ZARI,
Hebu jionee hapa mauongo yake
Hapa gari hilo hilo moja kaliweka plate number mbili ili tujue ni magari mawili tofauti. Yni hii kali duuh
Hapa kaomba kupiga picha business class kwenye ndege ili aonekane amekata ticket ya business class kumbe anapiga picha tu kabla abiria hawajaja baadae anarudi zake economic class.
No comments: